Kuhusu

Kuhusu

Wakabet ni jina la biashara la Triventure Investments Limited, Kampuni iliyosajiliwa chini ya sheria za Tanzania, iko katika mchakato wa kupewa leseni na Bodi ya kubahatisha ya Tanzania kwa ajili ya kutoa huduma za bahati na sibu nchi nzima kupitia mitandao ya simu na kielectroniki.

Tunaleta mfumo wa kielectroniki wa kuweka dau/kucheza betting ambayo imechukuliwa kama desturi na tabia ya wakazi wa eneo,iliyowekewa mikono na teknologia za kisasa na timu ya watu wenye sifa na wenye uzoefu katika sekta ya kimataifa.

Wakabet inatoa huduma ya michezo ya betting/kuweka dau ambayo inashughulikia ligi zote kubwa za mipira kuhakikisha upatikanaji wa aina mbalimbali kwa wateja wetu,na ongezeko la thamani ya urahisi wa malipo na gharama kwa wateja wetu.

Katika Wakabet ,kipaumbele chetu ni furaha na kuridhika kwa wateja wetu.

Matokeo mubashara

Hakuna matokeo yaliyopatikana.