Kuhusu programu hii

Kuhusu programu hii

Toleo 2.3.1.5 la Wakabet ni programu ya michezo ya kubashiri iliyoundwa na kutengenezwa na Trinitial Associates Limited (Kampuni iliyosajiliwa Malta kwa namba C78147 mnamo Desemba 16th, 2016).

Programu hii ilitengenezwa kwa kufuta taratibu yaani KANUNI ZA MICHEZO YA KUBASHIRI 2016 ya Tanzania inayozingatia misingi ya SANS 1718-4 viwango ya Afika ya Kusini, kama ilivothibitiswa na GLI Afrika (Pty) Ltd kama ilivyo katika nyaraka zifuatzo.

Programu hii imeunda na uwezo wa kimapinduzi wa kupokea idadi kubwa ya michezo kwa njia rahisi na haraka kwa kufuata sheria na kanuni za sasa za kila mchezo.

Kutokana na misingi ya SANS 1718-4 viwango, mfumo huu unaturuhusu kufanya marekebisho kama vile kuweka sarafu, muda na kodi kwa kuzingatia kanuni za nchi nyingi za afrika na dunia. Hii imetufanya kuwa na mtindo wa kusambaa katika nchi zingine hivyo kuwa wa awali kudhibitishwa kwa ajili ya tanzania na bara zima.

Mfumo huu unarashisisha upatikanaji wa taarifa, wenye kuundwa na tekinologia ya hali ya juu yenye uwezo wa kutebgeneza kulinga na mahitaji ya wateja wetu. Hivyo una uwezo wa kuchakata matumizi makubwa kwa haraaka.

Kwa matumizi bora, tumewezesha mfumu huu kutumika katika ila aina ya nyenzo zinazopatikana sokoni na kwa ghalama ndogo amabyo itampa wepesa mteja kuwa na akiba.

Hakuna ubashiri zaidi

REAL MADRIZ vs OCOTAL
45 Minutes 2nd
Over/Under 2nd Hf.
Both Score 2nd Hf.

Matokeo mubashara

15:00ENEBY BK0 - 0TENHULTS IF90'