Maswali

Maswali

Unaweza kubashiri kwa kutumia njia 2 katika Wakabet.

 1. Unaweza kujisajili katika [kiunganishi] na kisha kuingia na kuweka pesa zako kwenye Pochi ya Waka. Uwapo na pesa unaweza kufanya ubashiri.
 2. Njia ya pili ni kutengeneza tiketi ya ubashiri unaoutaka na kufanya malipo kwa simu katika [kiunganishi].

Unapokuwa umejisajili na Wakabet, unaweza kuweka pesa kwenye Pochi yako ya Waka kwa kufuata hatua zifuatazo [kiunganishi].

Tigo

 1. Kwenye simu (Namba ya simu iliyosajiliwa kwenye Wakabet) piga msimbo 150*01#.
 2. Fanya malipo ya kwa risiti ya biashara kwenye namba: 055055.
 3. Ingiza kumbukumbu namba 000.
 4. Ingiza kiasi unachotaka kuweka.
 5. Thibitisha malipo yako na mara Wakabet watakapo uthibitisho huo na kuukubali kiasi cha pesa ulichoweka kitawekwa kwenye Pochi yako.

Mpesa

 1. Kwenye simu (Namba ya simu iliyosajiliwa kwenye Wakabet) piga msimbo 150*00#.
 2. Fanya malipo ya kwa risiti ya biashara kwenye namba: 055055.
 3. Ingiza kumbukumbu namba 000.
 4. Ingiza kiasi unachotaka kuweka.
 5. Thibitisha malipo yako na mara Wakabet watakapo uthibitisho huo na kuukubali kiasi cha pesa ulichoweka kitawekwa kwenye Pochi yako.

EzyPesa

 1. Kwenye simu (Namba ya simu iliyosajiliwa kwenye Wakabet) piga msimbo 150*00#.
 2. Fanya malipo ya kwa risiti ya biashara kwenye namba: 055055.
 3. Ingiza kumbukumbu namba 000.
 4. Ingiza kiasi unachotaka kuweka.
 5. Thibitisha malipo yako na mara Wakabet watakapo uthibitisho huo na kuukubali kiasi cha pesa ulichoweka kitawekwa kwenye Pochi yako.

Fuata hatua zifuatazo:

 1. Nenda kwenye kiunganishi: Toa pesa.
 2. Kwenye sehemu ya "Toa pesa" ingiza kiasi unachotaka kutoa kisha bofya kwenye "Ombi la kutoa pesa".
 3. Kiasi ulicho chagua kitaongezwa kwenye akaunti ya simu yako na kutolewa kutoka kwenye salio la pochi yako.

Kama tiketi yako uliitengeneza kwa kutumia pochi ya Wakabet, unaposhinda kiasi ulicho shinda kitaongezwa moja kwa moja kwenye pochi yako. Kama ulilipia tiketi yako kwa 'simu'; Faida yako itahamishiwa kwenye akaunti yako moja kwa moja.

* Iwapo umefanya malipo kwa njia ya 'simu'; ndani ya muda usio pungua masaa matatu kutoka mechi ya mwisho kwenye mkeka wako. Kama malipo yatacheleweshwa kidogo itakuwa kwasababu matokeo ya mechi hayajathibitishwa.

Kama baadhi ya michezo itafutwa, mambo 2 yatatokea:

 1. Iwapo michezo yote itaahirishwa kwa mazingira hayo mteja atarudishiwa pesa yake yote ya mkeka husika.
 2. Kama baadhi ya michezo haijafutwa kwenye mkeka, Kwa mazingira hayo utalipwa kwa mechi ulizo shinda bila kuhusisha michezo iliyofutwa, lakini ni lazima uwe umeshinda michezo yote iliyobaki.

Maneno yaliyo orodheshwa la kwanza ni 1 (timu ya nyumbani), na la pili ni 2 (timu ya ugenini) na sare ni X.

Wakabet wana App inayopatikana kwenye simu zenye mfumo na uwezo wa Android.

Unaweza kupakua App hiyo Kutoka kwewnye [kiunganishi] kifuatacho.

Matokeo mubashara

02:30AMERICA MINEIRO0 - 0CALDENSE30'
02:00GREMIO0 - 1CAXIASHT
02:00YPIRANGA-RS0 - 0SAO LUIZHT
02:00TUPYNAMBAS0 - 0TOMBENSEHT
02:00CASCAVEL1 - 0OPERARIO-PRHT
02:00TOLEDO0 - 1UNIAO-PRHT
02:00ATLETICO PARANAENSE0 - 0PSTC PROCOPENSEHT
02:00PELOTAS0 - 0NOVO HAMBURGOHT
01:30LONDRINA0 - 0CIANORTE90'
01:15SAN JOSE0 - 1CLUB GUARANI90'
01:15INTER DE LIMEIRA0 - 4GUARANI CAMPINAS90'
01:15ITUANO0 - 4PALMEIRAS90'