Jinsi ya kulipa

Jinsi ya kulipa

Tigo Pesa

1. Piga *150*01# kupata huduma za Tigo Pesa.

2. Chagua namba 4 - Kulipia Bili.

3. Chagua namba 3 - Ingiza namba ya kampuni.

4. Ingiza namba ya kampuni 055055.

5. Weka kumbukumbu namba.

6. Ingiza kiasi unachotaka kulipa.

7. Ingiza namba yako ya siri na thibitisha muamala wako.

M-Pesa

1. Piga *150*00# kupata huduma za M-Pesa.

2. Chagua namba 4 - LIPA kwa M-Pesa.

3. Chagua namba 4 - Weka namba ya kampuni.

4. Tafadhali weka namba ya kampuni 055055.

5. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo.

6. weka Kiasi.

7. Weka namba ya siri.

8. Bonyeza 1 kuthibitisha au 2 kubatilisha.

Airtel Money

1. Piga *150*60# kupata huduma za Airtel Money.

2. Chagua namba 5 - Lipia Bili.

3. Chagua namba 4 - Weka namba ya kampuni.

4. Andika namba ya kampuni 055055.

6. Ingiza kiasi cha pesa.

5. Ingiza namba ya kumbukumbu.

7. Ingiza namba yako ya siri na thibitisha muamala wako.

Halo Pesa

1. Piga *150*88# kupata huduma za Halo Pesa.

2. Chagua namba 4 - Lipia kwa Halo Pesa.

3. Chagua namba 3 - Namba ya biashara.

4. Ingiza namba ya biashara 055055.

5. Weka kumbukumbu namba.

6. Ingiza kiasi unachotaka kulipa.

7. Ingiza namba yako ya siri na thibitisha muamala wako.

8. Bonyeza 1 kuthibitisha au 0 kubatilisha.

Hakuna taarifa iliyochaguliwa na opareta "jinsi ya kulipa".

Matokeo mubashara

01:30LONDRINA0 - 0CIANORTE15'
01:15SAN JOSE0 - 0CLUB GUARANI30'
01:15INTER DE LIMEIRA0 - 2GUARANI CAMPINAS30'
01:15ITUANO0 - 0PALMEIRAS30'
00:30UNIVERSIDAD DE CHILE0 - 2COLO COLO60'
00:30EL VENCEDOR0 - 0CHALATENANGO60'
00:15JOCORO FC0 - 0AD ISIDRO METAPAN90'
00:00LIMON FC0 - 2CS HEREDIANO90'
00:00UNIV. DE COSTA RICA1 - 2LD ALAJUELENSE90'
00:0011 DEPORTIVO2 - 0MUNICIPAL LIMENO90'