Jinsi ya kucheza

Jinsi ya kucheza

Kubashiri na kushinda na Wakabet ni rahisi zaidi.

Jinsi ya kubet bila kujisajili.

 • Katika tovuti yetu fanya uchaguzi wako bets michezo na mechi unayotaka.
 • Eelekeza kiasi unachotaka kubet juu ya uteuzi ulio ufanya chini utaona tuzo utakayopata kama mkeka wako ukishinda.
 • Chagua muamala wako na hakikisha kuwa operator wako anapatikana kulipa bet yako.
 • Bonyeza kwenye tuma tiketi ili utume mkeka wako.

Chini utaona muktasari wa mkeka ulio ufanya na maagizo kutoka kwa operator wako.

Jinsi ya kujisajili na kunufaika na bets za bure.

 • Katika tovuti yetu bofya chaguo la kuingia.
 • Ingiza jina lako na namber ya simu (utaweza kutoa ela na kuweka kwa kutumia namber hiyo tu) utaweka neno lako la siri mara 2.
 • Kubaliana na sera zetu na masharti ya tovuti yetu.
 • Kukubali bofya kujiandikishaili utume data kwenye mfumo wetu na kukubali masharti ya tovuti yetu
 • Katika tovuti yetu fanya uchaguzi wa michezo na mechi unazo taka
 • Elekeza kiasi unachotaka kubet juu ya uteuzi ulio ufanya chini utaona tuzo utakayopata kama mkeka wako ukishinda.
 • Chagua mfumo wa kulipa na hakikisha kuwa operator wako anapatikana kwa ajili ya kulipa bet yako
 • Bonyeza tuma ticket ili kutuma mkeka wako

Kama umeweka Barua pepe yako, utapokea ujumbe wa uthibitisho kwa njia ya barua kwenye mtililiko huu. Bonyeza kwenye kitufe kukubali, na utaweza kupata nafasi ya kujiunga na kucheza bure (utapata nafasi ya kucheza bure**)

Aina ya bets

Mpira wa miguu

 • Normal.Ubashiri wa kawaida juu ya hitimisho ya matokeo ya mwisho yatakavyo kuwa ndani ya dakika 90.dakika za ziada na penati hazita hesabiwa.
 • 45 Minutes 1st.Dakika 45 YA 1(mwenyeji kushinda au kutoa sare au mgeni kushinda) katika kumaliza dakika 45 za kwanza.
 • 45 Minutes 2nd.KIPINDI CHA PILI (mwenyeji kushinda au kutoa sare au mgeni kushinda katika kumalizia kipindi cha mwisho cha pili.
 • Handicap Home. Bashiri juu ya matokeo ya mwisho ya mchezo laki timu ya nyumbani inapata faida ya goli moja ambalo litahesabiwa katika matokeo ya mwisho.
 • Handicap Away. Bashirinjuu ya matokeo ya mwisho ya mchezo lakin timu mgeni inapata faida ya goli moja ambalo liotahesabika katika matokeo ya mwisho.
 • Double Chance. Bet to 2 of the 3 game options of type normal game.
  • 1X – timu ya mwenyeji ishinde au mchezo uishe kwa sare
  • 12 – timu mwenyeji au timu mgeni ishinde
  • X2 – mchezo uishe kwa sare au timu mgeni ishinde
 • Over/Under 2.5. Bashiri kuwa jumla ya magoli mwisho wa pambano yatakua ni zaidi ya 2.5 au chini ya 2.5.
  • OVER = +2.5 MAGOLI
  • UNDER = -2.5 MAGOLI
 • Over/Under 1st Hf. Bashiri kuwa jumla ya magoli ya mwisho wa pambano la kipindi cha kwanza yatakua juu ya 1.5 au chini ya 1.5.
  • OVER = +1.5 MAGOLI
  • UNDER = -1.5 MAGOLI
 • Over/Under 2nd Hf. Bashiri kuwa jumla ya magoli ya mwisho ya pambano la kipindi cha pili yatakua juu ya 1.5 au chini ya 1.5.
  • OVER = +1.5 MAGOLI
  • UNDER = -1.5 MAGOLI
 • Both team Scores. bashiri kuwa timu zote ziweze kufunga ndani ya dakika 90 na utachagua ndiyo au hapana.
 • Both Scores 1st Hf. bashiri kuwa timu zote ziweze kufunga ndani ya kipindi cha kwanza na utachagua ndiyo au hapana.
 • Both Scores 2nd Hf. Bashiri kuwa timu zote ziweze kufunga kwenye kipindi cha pili utachagua ndiyo au hapana.
 • Correct Score. Matokeo halisi ya mechi. Idadi ya magoli ambayo kila timu itashinda
 • Draw No Bet.Bashiri kwa timu moja kushinda,ikiwa matokeo ya mwisho ni sare,ubashiri utafutwa na odd itahesabiwa kama 1.

Masumbwi

 • Normal. Bashiri juu ya matokeo ya mwisho ya pambano.
 • Over/Under 8.5. Bashiri jumla ya rounds za mwisho wa pambano kama litakua juu ya 8.5 au chini ya 8.5.
  • OVER = +8.5 MIZUNGUKO
  • UNDER = -8.5 MIZUNGUKO
 • Over/Under 9.5. Bashiri jumla ya rounds za pambanao la mwisho kama litakua juu ya +9.5 au chini ya -9.5
  • OVER = +9.5 MIZUNGUKO
  • UNDER = -9.5 MIZUNGUKO
 • Draw No Bet. Mbashirie mmoja wa wapambanaji kama mchezo ukiisha kwa sare basi kiasi kitarejeshwa
 • KO, TKO or DQ. Bashiri kama pambano litaisha kwa mbinu KO, KO au kushindwa kwa masharti (chagua ndiyo) au mshindi apatikane kwa alama au maamuzi (chagua hapana).

Kikapu

 • Normal. Bashiri wa kawaida juu ya matokeo ya mwisho na dakika za nyongeza zitahesabika.
 • Over/Under Score. Bashiri kuwa matokeo ya timu ya 2 zinazocheza yatazidi au hayatakua kama yalizopendekezwa.
  • OVER = + magoli
  • UNDER = - magoli
 • Even/Odd. Bashiri kuwa magoli yatakayo patikana mwisho wa mchezo yatakua yanagawanyika kwa mbili au yasigawanyike.

Tenisi

 • Normal. Bashiri matokeo yatakayo kuwa ya mwisho kwenye Mechi ya tenisi. Ushindi wa Nyumbani au ugenini.
 • Number of Sets. Bashiri jumla ya seti kwenye mechi ya tennis. Kwa mfano:
  • 3-1 = 4 Seti
  • 0-2 = 2 Seti
 • Both win a Set. Bashiri kama wachezaji wa tenisi watashinda japo seti moja kwenye mechi. Machagulio ni Yes au No
 • Correct Score. Matokea halisi ya mechi. Idadi ya seti ambazo kila mchezaji wa tenisi atashinda

* Kampuni yetu ina haki ya kufuta au kusimamisha matangazo ya bonasi bila taarifa.

** Wakabet itaweza kubadilisha masharti ya matangazo na bonasi wakati wowote na bila onyo la awali isipokuwa vinginevyo, matangazo yetu yana uhalali wa siku 90. Bonasi au promotion yoyote itatolewa baada ya kipindi icho na bila ya taarifa.

Matokeo mubashara

Hakuna matokeo yaliyopatikana.