Game inayojibika

Game inayojibika

Ahadi za Wakabet

Wakabet inajitahidi kutengeneza mazingira mazuri katika dhana ya uwajibikaji wa michezo ya kubashiri kwa kila mteja wetu na kwa watu wengine. Michezo ya kubashiri ni burudani isiyo na madhara na inakubalika katika jamii, lakini katika baadhi ya matukio namba ndogo ya wachezaji wanaweza kupoteza udhibiti au kuwa juu ya udhibiti wa kucheza michezo hii.

Wakabet imejidhatiti kuzuia tatizo hili na tutatoa ufumbuzi na msaada kwa matatizo ya aina kama hiyo.

Kwa wenye umri wa miaka 18 na zaidi tu.

Nchini Tanzania, michezo yote ya ubashiri ni haramu kwa watu wote walio chini ya umri wa miaka 18. Wakabet inayo haki ya kuomba ushahidi wa umri kwa mteja wake yeyote ikiwa ni pamoja na kufanya ukaguzi wa kuthibitisha taarifa iliyotolewa kama ni sahihi.

Akaunti ya mteja inaweza kusimamishwa na fedha zikashikiliwa/zikazuiwa mpaka ushahidi wa umri wa kuridhishwa utakapotolewa.

Tambua Mipaka Yako.

Kwa Wakabet inazingatia na kufuata mifumo ya ukomo iliyo hai katika michezo ya kubashiri kwa wachezaji wote kama ilivyo anzishwa na Idara yetu ya huduma kwa wateja, pamoja na hilo Wakabet inaweza kuweka mipaka na ukomo kwa mteja/mchezaji kwa kutoa taarifa katika kitengo cha mhudumu kwa wateja.

Ukomo Wa Kubashiri

Ukomo huu unajumuisha:

  • Ukomo wa kubashiri kwa wiki – chagua kiasi cha fedha utakacho tumia katika ubashiri wako kwa wiki nzima.

Ukomo wa kubashiri unachunguzwa na kutazamwa kila wakati unapoingia katika anuani ya mtandao wa kubashiri na kama ubashiri wako utakuwa juu ya ukomo au kiwango husika, hivyo hutaweza kubashiri hadi muda wa ukomo utakapo malizika.

Mafunzo kwa wafanyakazi na Ufahamu

Menejimenti yetu yote na wahudumu wetu wa huduma kwa wateja wamepata mafunzo ya ufahamu katika matatizo ya michezo ya kamari.

Zingatia na baki katika udhibiti

Wakati watu wengi wakicheza ndani ya uwezo wao, kwa michezo ya kamari inaweza ikawa ni tatizo kwa baadhi ya watu wacache. Inaweza kukusaidia kubaki katika udhibiti na viwango kwa kuzingatia na kukumbuka yafuatayo:

  • Mchezo wa kubashiri unapaswa kuwa burudani na si kuchukuliwa kama njia ya kutengeneza pesa
  • Kuepuka kurejesha hasara
  • cheza kile unachoweza kukimudu
  • Zingatia muda na kiasi cha pesa wakati wakubashiri

Kujitenga mwenyewe

Kujitenga mwenyewe ni huduma tunayoitoa kuwasaidia wateja ambaoi wanaamini kuwa hauwezi kujidhibiti wenyewe na hivyo wanahitaji msaada wetu ili wajidhibiti wenyewe. Katika kujitambua makubaliano ya kujitenga mwenyewe na Wakabet, utazuiliwa kutumia akaunti yako kwa kipindi maalumu kama ilivyo ulivyopendezwa mwenyewe.

Unaweza kuchagua kati hizi zifuatazo hapa chini:

  • Kujitenga binafsi kwa siku moja
  • Kujitenga binafsi kwa wiki moja
  • Kujitenga binafsi kwa mwezi mmoja
  • Kuifunga akaunti yako kabisa.

Kama utapenda kufunga kabisa akaunti yako, tafadhali wasiliana na deski letu la msaada.

Matokeo mubashara

Hakuna matokeo yaliyopatikana.