Kanuni

Kanuni

Kanuni kuu

Makazi na ufutaji wa kanuni

 • Ikiwa mchakato umebaki wazi wakati matukio yafuatayo yamefanyika kadi nyekundu au njano na adhabu tuna haki ya kufuta bet (GBT7 (2) (h) ya kanuni ya michezo ya kubahatisha, cap ya (41).
 • Ikiwa vigezo vilitolewa kwa wakati usio sahihi(zaidi ya dakika 5) tunahifadhi haki ya kuacha pesa.
 • Ikiwa alama isiyo sahihi imeingizwa mchakato wote utafutwa wakati alama isisyo sahihi imeoneshwa.
 • Ikiwa mechi imesumbuliwa au kuhairishwa na haija endelea ndani ya masaa 24 baada ya tarehe ya husuka kuanza bet itakua tupu.
 • Ikiwa majina ya team yatakua yameandikwa kimakosa basi tutafuta bet za mchezo huo.
 • Katika tiketi ya bet ya pamoja na kusimamshwa au kufutwa kwa tukio tiketi hii itasitishwa kwa tukio hilo au kufutwa kwa sehemu zake zote uwezo wa ushindi utahesabiwa kwa bets zilizo baki.

Makazi makuu na ufutaji wa kanuni

 • Ikiwa matokeo hayata dhibitishwa rasmi tuna haki ya kuchelewesha makubaliano mpaka uthibitisho rasmi uwekwe.
 • Ikiwa mchakato ulitolewa wakati matokeo tayari yalikwa yanajulikana tuna haki ya kuacha pesa yoyote.
 • Kesi ya bei yoyote ya wazi isiyo sahihi au mbaya tuna hifadhi haki ya kufuta bets hii ni pamoja na kupotoka kwa zaidi ya 100% kwa malipo ikilinganishwa na wastani wa soko.
 • Ikiwa chanjo lazima ziachwe na mechi ikakamilika mara kwa mara mchkato wote utatatuliwa kulingana na matokeo ya mwisho ikiwa mchkato hauwezi kuthibitishwa rasmi tunahifadhi ya kufuta.
 • Kama itaamuliwa kuachwa na mchezo ukaisha kihalali, michezo yote itahitimishwa kwa matokeo ya mwisho. Na Kama matokeo yatakuwa hayaja rasimishwa, tuna haki pia ya kuufuta mchezo husika.
 • Ikatika tukio la uhamisho usio sahihi tuna yuna haki ya kurekebisha wakati wowote.
 • Katika kesi ya kanuni ya jumlaya mchezo unao vunjwa tuna haki ya kuachana nalo mfano muda usio wa kawaida wa kipindi au muundo wa.
 • Katika kesi ya kanuni au muundo wa mechi zikitofautiana na muundo wetu basi tutasitisha mchezo huo.
 • Ikiwa kama mechi haijakamilika au haijachezwa kabisa (aidha kwa kutofata vigezo au kufutwa au kwa usumbufu au katika mabadiliko ya ratiba) shughuli hiyo itaonekana haipo.

Kanuni za (soccer) mpira wa miguu

 • Shughuli zote zitazingatiwa ndani ya dakika 90 tu (mda wa nyongeza na wakati wa penati hauta zingatiwa).
 • Kama mchezo utaingiliwa na kuendelea baada ya masaa 24 baada ya mda muafaka bets huru zitatatuliwa baada ya mchezo kuisha vinginevyo pesa zote zitahesabika ka hazipo na pesa zitarudishwa.
 • Bashiri zote zilizo wazi katika orodha ya matukio kwenye mkeka wako utafanywa kuwa batili na kurudishwa kama tukio litakuwa halijamalizika na matokeo yote yakawa yametangazwa ndani ya masaa 24 baada ya mchezo kuanza, na hata kama sehemu ya tukio hilo itakuwa imetatuliwa.

Kanuni za masumbwi

 • Masoko yote yatafanyika baada ya kupigana wakati vipimo na uchunguzi wa damu wa wapiganaji unafanywa na kuthibitishwa kwa shirikisho husika.
 • Ikiwa pambano litachelewa au kuingiliwa na kuendelea baada ya masaa 6 baada ya mda husika ,bets zote za wazi zitatatuliwa na maamuzi ya mwisho vinginevyo pesa zote zitachukuliwa kama hazipo na zitarejeshwa.
 • Hakuna bets wazi kwenye sehemu ndani ya tukio litatatuliwa ikiwa tukio halijakamilishwa kikamiliofu na shirikisho husika hata ikiwa sehemu ya ndani ya tukio hili limetatuliwa.

Kanuni za kikapu

 • Mchakato wote utazingatiwa kwa matokeo ya mwisho (ikiwa pamoja na mifumo mengine ya kutatua michezo).
 • Ikiwa hakuna mshindi baada ya mda kuongezwa/au mfumo wowote uliokubaliwa) masoko yote ambayo hayajapata ufumbuzi yatafutwa na kurejesha kiasi katika bets za pamoja na bet ambayo haita tatuliwa kwenye tiketi itaondolewa.

Kanuni za tenisi

 • Ubashiri wa Mechi
  Bashiri zote zitazuiliwa kama Mechi itakuwa imeshaanza lakini haijamalizika, isipokuwa kwa sharti la kutokidhi kigezo cha mchezaji wakati mechi imeshaanza, kwa sharti kwamba Mchezaji/timu ambayo imefuzu kwa hatua ijayo au ni rasmi ametangazwa kuwa mshindi, atazingatiwa kuwa mshindi kwa madhumuni ya ubashiri.
 • Matokeo ya Mechi na Wachezaji wote watashinda seti
  Ubashiri utazuiwa kama umeshaanza lakini Mechi haitamalizika.
 • Ubashiri wa seti
  Ubashiri utakataliwa kama namba za seti zitakuwa hajizakamilika, au kama zikibadilika.
  Ili ubashiri uweze kufanikiwa, mechi lazima iwe imekamilika. Bashiri zote zitazuiwa endapo kama hazijakidhi vigezo au kuachwa.
 • Nambari ya seti
  Bashiri itazuiwa kama namba ya seti kwenye seti zitabadilika. Nambari za seti - "Zaidi ya/ pungufu ya": bashiri zitazuiwa kwa tukio la kukosa kigezo au kuachwa, isipokuwa kama ubashiri utakuwa umefanyiwa utambuzi.
  Nambari ya seti: Bashiri zote zitazuiwa kwa kukosa sifa/kigezo au kuachwa, isipokuwa kama mechi kama itakuwa imefikia hatua ya seti ya mwisho.
  Kama hakutakuwa na matokeo rasmi ya mwisho au aina nyingine ya tatizo, Wakabet wanayo haki ya kuufuta bashiri ambazo zitakuwa zimeathirika.
 • Kwa namna iliyo sawa na hii, Wakabet wanayo haki ya kufuta mechi au bashiri ambazo zimefanyika, kwa kufuata kanuni za GBT, kama mechi imeanza muda maalumu umetangazwa au umebadilishwa.

WakaPot

 • Michezo yote ambayo itakuwa haijachakatwa kikamilifu katika tarehe husika (mchezo wa mwisho umalizike kwa mda wake wa kawaida), itazingatiwa kuwa mchezo huo umefutwa, na utatuliwa na mechi za akiba zilizohifadhiwa.
 • Mechi za akiba zilizohifadhiwa inawezekana kuzingatiwa na kujumuishwa katika matokeo endapo tu ikiwa kuna mechi iliyoahirishwa, kufutwa au kutochezwa kutoka katika Pot(kesi kamili). Katika tukio ambalo kufutwa kwa mechi zaidi kunatokea kwa idadi ya mechi za akiba, Wakabet inayo haki ya kubatilisha mechi zinazohusika au kufuta tiketi zote kwa hiari yake. Raffle itafanywa na mfumo bila kuingiliwa na mfumo wowote wa binadamu.
 • Pot(katika kesi kamili) itasambazwa kwa usawa kati ya washindi wote katika siku ya mchakato(siku ya kukamilisha wakati wa mda asili wa mchezo ulio pita.
 • Kampuni ina haki ya kusambaza michezo kulingana na vigezo vyake na hakuna mabadiliko yatakayo fanywa pindi yatakapo chapishwa.
 • Ili ushinde hela yote ya wakapot ni lazima ubeti na kupatia mechi zote 12 zilizowekwa. Iwapo utashinda mechi kuanzia 2 mpaka 11 utapata bonasi. Mgawanyo wa bonasi hii utahesabiwa moja kwa moja na mitambo ambapo malipo ya waliocheza na kushindwa kufikia mechi 2 mpaka 11 italipwa kwa washindi wa kuanzia mechi 2 mpaka 11 kama bonasi ya kucheza tena.

Bshiri Live

 • Wabetiji wote ni lazima waingie online na kisha watathibitishwa na mchezaji juu ya uso wa mkeka.
 • Kama kutakuwa namgogoro baina ya Sheria kuu na vipengele husika vya Sheria ndogo katika michezo ya kubashiri, kipengele cha Sheria husika kilicho katika maandishi katika mchezo husika wa kubashiri ndicho kitakachotumika na kuzingatiwa.
 • Wakati ukiwa unaongeza bashiri yako kwenye mkeka wako, ukomo wa kiasi cha chini na cha juu kwa machagulio umeonyeshwa. Mfumo hautaruhusu idadi ya namba zitazokuwa juu au chini ya ukomo. Tunayo haki ya kutoa ukomo wa akaunti kwa wakati wowote. Pia tunaweza kutoa mechi kwasababu husika muda wowote.
 • Pengine izingatiwe kuwa, wabetiji waliokubaliana, haraka sana na baada ya programu kutoa taarifa kutoka kwa vyanzo vya matokeo yanayotakiwa.
 • Wabetiji kwa muda husika, nusu, robo, au mgawanyo wa mchezo watakubalika baada ya matokeo kwa kipindi husika nusu/robo/mgawanyo wa mchezo iwepo kwenye programu ya kutoa taarifa ya matokeo. Wabetiji watapangwa kulingana na takwimu zilizopo kwa wakati husika. Matokeo au takwimu kurekebishwa vikifanyika baada ya tukio havitawaathiri wabetiji ambao tayari wamekubaliana.
 • Kama programu ya kutoa matokeo haitakuwa imejumisha matokeo au takwimu zinazohitajika kupanga wabetiji, kisha mbetiji huyo atapangwa kwa njia ya kawaida kwa kutumia matokeo au takwimu za mwisho zitakazotolewa kwenye tovuti maalumu ya ligi au mashindano husika. Kama ligi au mashindano hayana tovuti maalumu, kisha tutatumia ushahidi huru kutatua swala husika kwa wabetiji.
 • Labda izingatiwe kuwa, wabetiji kwenye kipindi husika, nusu, robo, nk, watapangiliwa kama "HAKUNA TUKIO" na dau kurudishwa kwamba kipindi, nusu, au robo hakikumalizika au kutamatika.
 • Labda iwe imeelezwa, wabetiji kwenye mechi watapangiliwa kama "HAKUNA TUKIO" kama mechi haikuanza kwenye ratiba na kwenye uwanja husika.
 • Labda izingatiwe kuwa, machagulio yatakayo jumuisha robo husika, nusu, kipindi, n.k, kwenye kichwa cha habari vitakubalika kulingana na matokeo au takwimu ambazo zimetokea ndani ya robo, nusu, au kipindi tu.
 • Kama kuna tukio litatokea kwenye mechi na mfumo ukashindwa kupokea taarifa ya tukio ndani ya muda unaokubaliki bashiri kama ilivyopangwa kwenye mfumo, WakaBet wanayo haki ya kuifuta mechi, nakuwataarifu wateja kabla ya mechi kufanyiwa mchakato.

Matokeo mubashara

15:00ENEBY BK0 - 0TENHULTS IF90'