Promosheni ya wakabet

Promosheni ya wakabet

1. Karibu Bonasi

Wakabet inakurudishia tiketi yako ya kwanza uliyopoteza. Hakuna zaidi ya Wakabet

Ofa hii ni kwa wateja walio juu ya miaka 18 ambao bado hawajaweka salio na kucheza kupia Pochi ya Waka

Inafanyaje kazi? Kwa mfano, kama ukijisajili Wakabet na ukiweka salio kwenye Pochi na kucheza utapata bonasi ya 100%

Masharti ya bonasi ya asilimia 100% ya tiketi ya kwanza:

 • Lazima ufanye ubashiri wa kwanza kupitia Pochi ya Waka.
 • Bonasi ya ubashiri wa bure itatumika kwa kiwango cha chini cha odds 20.00 kwa tiketi nzima.
 • Bonasi ya ubashiri wa bure itatumika kwa kiwango cha chini cha mechi 7 kwa tiketi.
 • Bashiri ya bure itatolewa kwa mtumiaji mwanzoni mwa mechi ya mwisho kwenye tiketi ya kwanza.
 • Bonasi hii itakuwa batili baada ya siku 7 kupita, kama haitatumika kwa kipindi hicho, na ubashiri wa bure hautaonekana.100% ya bonasi ya ubashiri wa kwanza inaweza kutumika mara moja tu kwa mteja.
 • Asilimia 100% ya bonasi ya ubashiri wa kwanza itatumika mara moja tu kwa mteja
 • Wakabet wanayo haki ya kushikilia, kuzuia kutoa ofa hii kwa watumiaji wote amabao watadanganya kwenye promosheni hata pasipo kutoa taarifa ya wali kwa mtumiaji.

2. Teleza Waka

Vigezo na masharti ya Teleza Waka bonasi

 • Lipa tiketi kwa Pochi ya WakaWallet
 • Bonasi hii ni kwaajili ya wateja wapya waliojisajili kikamilifu kupitia kampeni hii
 • Bonasi hii inaukomo wa siku 7 tu, kama haitatumika kwa muda huo bonasi hiyo itakua batili na haitaonekana.
 • Wakabet wanayo haki ya kushikilia, kuzuia au kuitoa bonasi hii kwa utashi wao na bila taarifa yoyote kwa watumiaji wote watakao kiuka masharti na vigezo.

Aina

Dau (TZS)

Bonasi ya asilimia

Bronce

2000 - 9999

10%

Silver

10000 - 29999

15%

Gold

30000 - 49999

20%

Platinum

50000 - 100000

25%

3. Cash out

Ni promosheni maalumu kwa wateja wa Wakabet inayowapa uwezo wa kudhibiti mikeka yao

Una hofu baada ya kupata taarifa kuwa mchezaji wa timu uliyo iwekea mkeka kuwa ameumia kabla ya mchezo kuanza? Usiogope mfumo wa promosheni hii unakuruhusu kuitoa tiketi yako kabla ya mechi kuanza. Wakabet itakutoza kamisheni ya 10% ya faida ya kujitoa.

Masharti ya Cash out ni:

 • Lipia tiketi kwa kutumia Pochi ya Waka
 • Kiwango cha chini cha ushindi katika ubashiri ni: 2
 • Kima cha chini cha odds za ushindi katika ubashiri ni: 1.5
 • Toa tiketi kabla ya dakika 10 mechi kuanza

4. Alika marafiki

Kwa Wakabet unaweza kualika marafiki wengi kadri uwezavyo na kufaidika TZS 500 na ubashiri wa bure baada ya ubashiri wao kwa mara ya kwanza.

Hakuna ukomo wa bonasi unazoweza kupata. Kadri utakavyowambia marafiki wengi ndivyo utapata bonasi kwenye akaunti yako na uwezekano mkubwa wa kushida zawadi. Hakuna mipika ya kuwambia.

Hatua hii ni rahisi sana. Tafadhari fuata maelekezo yafuatayo kupata bonusi:

1.- Jisajili kwa Wakabet. Ni bure na itakuchukua sekunde chache. Kama tayari una akaunti unaweza Ingia Kwa jina lako/Simu na neon siri.

2.- Nenda kwenye Alika marafiki ukurasa.

3.- Nakili linki yako (pembe nne nyekundu) na utume kwa marafiki zako wote kwa kutumia SMS, Barua pepe, Facebook, Twitter, WhatsApp, Google+, Instagram, na nyinginezo. pindi rafiki zako wakapoingia Wakabet na kufanya malipo kwa mara ya kwanza, wote mtapokea bure TZS 500 bonasi tayari kwa kutumika.

4.- Basi ndiyo hivyo.

Jisajili    Ingia    Alika marafiki

Masharti ya bonasi ya alika marafika ni:

 • Mtumiaji mwalikwa ni lazima atengeneze tiketi kwa kutumia na kuilipia kwa njia ya Pochi kuanzia 2,000.00 au zaidi.
 • Tiketi ya mtumiaji mwalikwani lazima iwe na kiwango cha chini cha ubashiri usiopungua mechi 1
 • Tiketi ya mtumiaji mwalikwa ni lazima iwe na kiwango cha chini cha odds 2 kwa ubashiri.
 • Bonasi hii itakuwa batili baada ya siku 7 kupita, kama haitatumika kwa kipindi hicho, na ubashiri wa bure hautaonekana.100% ya bonasi ya ubashiri wa kwanza inaweza kutumika mara moja tu kwa mteja.
 • Ukomo wa bonasi ya alika marafiki kwa siku ni bonasi 2

Matokeo mubashara

Hakuna matokeo yaliyopatikana.